Description
Object description
whole: the four images are positioned in the upper quarter and down the right third, each held within a black border. The
title and text are separate and placed in the centre left, lower left and across the bottom edge, in black. All set against a white
background.
image: the first image is a depiction of a schoolteacher sitting at his desk in a classroom. Three young boys sit at desks in front of him.
The second image is a depiction of a doctor and a female patient standing outside a hut in the jungle. She drinks from a glass of medicine.
The third image is a depiction of truck crossing a bridge. The final image is a depiction of a cow lying on its side, its feet tied
together, as a man uses a syringe to inoculate it.
text: JINSI KODI YA SERIKALI INAVYOTUMIWA
1 SHILINGI ELFU NYINGI ZINATUMIWA KILA MWAKA KWA MAMBO YA SKULI, MAJENGO NA MISHAHARA YA WALIMU. PESA ZINAZOLIPWA NA WANAFUNZI HAZITOSHI
HATA KIDOGO. SERIKALI PIA INASAIDIA SKULI NYINGI ZA MISHENI KWA PESA.
2 DAWA MNAZOPATA BURE AU MNAZOLIPA PESA KIDOGO, ZINANUNULIWA HASA KWA PESA NYINGI SANA NA SERIKALI. SERIKALI PIA NI LAZIMA KUTOA MSHAHARA
KWA MADREVA[?] NA MADAKTARI PAMOJA NA MAJENGO YA HOSPITALI.
3 BARABARA NA MADARAKA [the 'K' is crossed out and a 'J' written above in pencil] NI GHALI SANA KUTENGENEZWA. KAMA SEMENTI NA LAMI
VIKITUMIWA, NI LAZIMA VINUNULIWE NA KULETWA KUTOKA NCHI ZA MBALI. NA NI LAZIMA SERIKALI PIA KULIPA MISHAHARA YA WALE WATU WANAOTUMIKA
KATIKA KAZI HIYO NGUMU YA KUTENGENEZA BARABARA, NA KADHALIKA.
4 PICHA HII INAWAONYESHA NG'OMBE ANAYEPIGWA SINDANO KWA KUZUIA UGONJWA. PESA NYINGI ZINATUMIWA KWA KUTENGENEZA DAWA HIYO NA INAJARIBIWA
KWANZA KWA NG'OMBE ZA SERIKALI. SERIKALI INAWASAIDIA WENYE NG'OMBE KWA NJIA NYINGI, NA HULIPA PESA NYINGI KWA WENYE ELIMU YA UKULIMA.
SERIKALI HUUZA NG'OMBE WAZURI NA MBEGU NZURI KWA WAAFRIKA KWA BEI MAALUMU ILIYO RAHISI KULIKO ILE SERIKALI ILIVYONUNUA.
HAYA NI MOJAWAPO KATI YA MAMBO SERIKALI INAYOTUSAIDIA SISI WAAFRIKA.
ISSUED BY DIRECTORATE OF EDUCATION AND WELFARE, E.A.C.
PRINTED BY PRINTING AND STATIONERY SERVICES, EAST AFRICA COMMAND
[How government tax is used. 1. Many thousands of shillings are used every year for education, buildings and teachers' salaries. The money
paid by students is not nearly enough. The government also helps many mission schools with money. 2. The medicines you get free or for
which you pay only a little are mainly paid for with a lot of government money. The government must also provide salaries for drivers[?]
and doctors as well as hospital buildings. 3. Roads and bridges are very expensive to repair. If cement and tar are used, these must be
purchased and brought from faraway countries. And the government must also pay the wages of the people who carry out this hard work of
repairing roads, etc. 4. This picture shows a cow being given an injection to prevent sickness. Much money is used to prepare this medicine
and it is tested first on government cattle. The government helps those who own cattle in many ways, and pays a lot of money to
agriculturists. The government sells good cattle and fine seed to Africans at special prices which are lower than those that the government
paid for them. These are some of the things the government does to help us Africans.]
Physical description
Produced by the British authorities in Africa.
Inscription
[translation of poster text]